Baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam, Zitto kabwe alikuwa na Haya ya kuzungumza


Leo June 08 2016 Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika Makao makuu kanda maalum ya Dar es salaam, ikiwa ameitikia wito wa polisi. Zitto amefika kituoni hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba ambayo aliitoa June 5 2016.
'nimesikitika tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano kama kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini, hali ambayo haikuwepo kwa takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru kabisa kuweza kueleza mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa'.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment