Yani leo tena naumwa kwelli nipo hoi siwezi hata kula. Hasubuhi yenyewe nimekula tu chapat 9 maandaz 7
viazi vitam
wali plet 7 af kiporo,
tambi coz czipend sana nimekula plet 4 tu
uji wa mchele
uji wa ulezi
uji wa ngano
mihogo ya kuchemsha
kulkua na kiporo cha makande ndo nimejazia jazia tu ivo ivo kigonjwa gonjwa na hayo magimbi
na maboflo 6 na hyo mikate ya kumimina….saiv ndo twatoka kwa dokta kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula…nimekonda kweli.
Daktari kaniandikia dozi hii
Eti nitume ujumbe huu kwa watu watano bila kuondoa hata nukta moja nami nitapona
Sambasa basi kwa watu watano tu kama unataka nipone.
0 comments :
Post a Comment