Shutuma Ya Real Madrid Kuvaa Jezi Za Plastic Kwenye Mchezo Dhidi Ya Sporting Dijon Ina Sababu Zifuatazo

https://lh3.googleusercontent.com/-9tinc6hQvy4/V0tR6mrqglI/AAAAAAAALTY/-Bvsg-zxD6YTDajQFK9PWdiCIX0D9Ir6gCCo/s912/real%2Bmadrid%2Bvs%2BAtletico%2B2016.jpg
Kuna vitu huwa vinatokea kwenye soka vinakua vya kushangaza kidogooo, sasaaa klabu ya Real Madrid ya Hispania imecheza mchezo wao wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya Sporting Gijon wakiwa wamevaa jezi zinazoangaza.

Jezi hizo ambazo zimetengenezwa na kampuni ya kijerumani ya Adidas, zimetengenezwa kwa kuyeyushwa plastiki laini iliyotokana na chupa zilizokuwa zimetupwa katika bahari ya Hindi, jezi moja inaripotiwa imetengenezwa kwa kutumia chupa 28.

Sababu ya kufanya hivyo Adidas wameshirikiana na Parley ambao ni wanaharakati  na  utunzaji wa mazingira kama sehemu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kuacha kuharibu vyanzo vya maji.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment