Mchezaji maarufu duniani Lionel Messi amesema hafahamu jambo lolote kwejye mikataba anayosaibi kwa sababu huwa hana utaratibu wa kusoma. Kau...
Read More
Home
/
Archive for
May 2016
Pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Juni 1, 2016 hapa....!
Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Juni 1 ziko hapa chini na habari kem kem zimejiri. Cha kufanya ni kuazisoma na kuacha maoni yako...
Read More
Haya ni amauaji mengine ya kinyama yametokea Tanga!!! ( Habari + Audio )
Watu nane wamefariki dunia katika tukio la kuchinjwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi katika mtaa wa Kibatini kata ya Mzizima jijini T...
Read More
Wananchi mkoani Njombe wameombwa kutoa hofu kuhusu kuwepo kwa vitendo vya kutowesha amani vikiambatana na mauaji...Nina habari yote!
Jeshi la polisi mkoani Njombe limewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo kwa kutoa taarifa mara wanapobaini viashiria vy...
Read More
Mkuu wa wilaya ya Iringa aahidi kutatua kero iliyopo baina ya wananchi na NEMC ikihusisha wawekezaji...
Wadau wa maliasili na mazingira mkoani Iringa wamelilalamikia baraza la mazingira la taifa (NEMC) kwa kutozingatia kanuni, sheria na taratib...
Read More
New music Video: Makomando - Sasanuvo ( Official video Watch and Download free )
Makomando wameachia video yao mpya inayokwenda kwa jina la Sasanuvo, karibu kuitizama kisha uache maoni yako hapo chini.... DOWNLOAD MP4 HE...
Read More
New music Audio: Quick Rocka ft G Nako & Jux - Hapo Mp3 ( Listen and Download free )
Karibu kusikiliza wimbo mpya kabisa wa Quick rocka amewashirikisha G Nacko na Jux unaitwa Hapo umefanyika studio za Switcher Producer akiwa ...
Read More
Nyumba ya Marehemu Michael Jackson yatangazwa tena kuuzwa
Baada ya miaka kadhaa nyumba ya marehemu Michael Jackson ilishawahi kutangazwa kuuzwa lakini kulikua na sababu tofauti tofauti zilizofanywa ...
Read More
Ishu ya wabunge kutoka nje ya Bunge ni kutokuwa na imani na Naibu Spika.............
Wabunge wa vyama vya upinzani wametoka nje ya bunge kwa mara nyingine lengo likiwa ni kumpinga Naibu Spika Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao ...
Read More
Wananchi Njombe watuhumu taasisi mbali mbali kujihusisha na rushwa.....!
Baadhi ya wananchi Mkoani Njombe wamezituhumu taasisi za umma kujihusisha na masuala ya rushwa jambo ambalo wamedai kuwa linapeleka kuzorota...
Read More
Waandishi wa habari Mkoani Iringa walalamika kuhusu Mikataba.........
Baadhi ya wanahabari Mkoani Iringa wamelalamikia kitendo cha waajiri wao kupuuza suala la utoaji wa mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao ja...
Read More
Baada ya Mourinho kukabidhiwa ukocha Man Untd hii ndi Interview yake ya kwanza ( Video )
Jose Mourinho amewaasa mashabiki wa Manchester United kusahau yote yaliyotokea miaka mitatu iliyopita wakati timu hiyo ilipokuwa chini ya Da...
Read More
Baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye Mradi Wa Mabasi Ya Mwendokasi (DART), Waziri mkuu ameahidi haya
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua utendaji kazi kwenye mabasi ya mwendokasi yanayotoa huduma katika Jiji la Dar es Salaam na kubaini chan...
Read More
Kuhusu mauaji na ubakaji wilaya za Iringa, Mkuu wa Wilaya kayazungumza haya ( Audio )
Jeshi la polisi wilayani Iringa limetakiwa kuanzisha operesheni ya kufanya doria hususani nyakati za usiku ili kuwabaini watu wanaojihusisha...
Read More
New music Audio: Songa, Chid Benz and Nikki Mbishi - Wacha mchecheto ( Listen and Download free )
Karibu kusikiliza wimbo mpya wa wasanii wa Hiphop Tanzania Songa, Chid Benz na Nikki Mbishi wimbo unaitwa " Wacha mchecheto" ambao...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)