Bieber afuta akaunti yake ya Instagram kwa kusakamwa na shabiki zake


Justin Bieber alitishia kuiweka akaunti yake ya Instagram private kama mashabiki wake hawataacha kumshambulia mpenzi wake, Sofia Richie.
373655EB00000578-0-image-a-6_1471328585732

Lakini staa huyo alichukua hatua kubwa zaidi kwa kuifuta akaunti yake ya Instagram yenye followers, milioni 77.8. Awali alianza kwa kuiweka private na kubadilisha mawazo yake kuirudisha kawaida tena kabla ya kuifuta kabisa.
37475D0200000578-0-image-a-4_1471328499133
Staa huyo mwanzoni aliandika:
‘I’m gonna make my Instagram private if you guys don’t stop the hate this is getting out of hand, if you guys are really fans you wouldn’t be so mean to people that I like.’
Lakini kutoka kusikojulikanam ex wake, Selena Gomez alimshambulia kwa kuandika: If you can’t handle the hate then stop posting pictures of your girlfriend lol – it should be special between you two only. Don’t be mad at your fans. They love you.’
Mambo yalibadilika na JB kujibu: ‘It’s funny to see people that used me for attention and still trying to point the finger this way. Sad. All love. I’m not one for anyone receiving hate.’
Ujumbe wa Bieber ulimchokonoa zaidi Gomez aliyejibu: Funny how the ones that cheated multiple times, are pointing the finger at the ones that were forgiving and supportive, no wonder fans are mad. Sad. All love.’
37407C6F00000578-3740820-image-a-144_1471266218272
Bieber hakukaa kimya, alijibu: I cheated… Oh I forgot about You and Zayn?’
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment