Msanii ambaye jina lake la pili ni la kikabila na linadhihirisha vizuri kuwa ni mwenyeji wa mkoa wa Iringa, Remi Mnyalu ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Gwanda Kubwa.
Jamaa huyu kwa sasa yupo mkoani Dar es Salaam kwa mishe mishe za maisha amepiga story na Chifumdogo Tv akaeleza mipango mikubwa liyo nayo kwa sasa na kusema anataraji kuzidi kufanya vizuri kwa kuwa amejipanga.
Wimbo umefanywa na prodyuza Allen Chuma wa Allen Chuma Records, Sikiliza hapo chini.
0 comments :
Post a Comment