Eneo linalodaiwa kuwepo kwa volcano Kagera, mtaalamu asema ni moto wa kawaida

1425670Jana tarehe 6 Oktoba eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi Kagera wananchi wa bonde la Katarabuga walipatwa na taharuki baada ya kuibuka moto ardhini wakidhani volcano. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma  amesema moto huo ni wa kawaida tu hivyo wananchi wasiwe na taharuki yoyote.
Prof. Mruma  akitoa ufafanuzi juu ya uvumi huo amesema moto huo ni wa kawaida na kwamba unatokea kwenye ardhi ambayo ina uozo wa majani mengi na yale majani yakiungua yanatoa kitu kama hicho. Prof. Mruma  ameongeza kuwa moto wa namna hii mara nyingi unatokea kwenye makaa ya mawe mtu anapita anaangusha moto mkaa unalipuka panaanza kuungua na ardhi inachubukachubuka kama ilivyotokea kwenye ebneo hilo.

Pichaz.........
SONY DSC
07 04
SONY DSC
1425671425670
Chanzo: Millardayo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment