Siku ya jana october 5 2016 Msanii Snura Mushi ambaye alifungiwa kisanaa kutokana na wimbo wake wa Chura kutokuwa na maadili, leo wimbo wake wa chura umeruhusiwa kuchezwa kwenye radio na TV baada ya kuruhusiwa
Snura amekutana jana na waandishi wa Habari na kuyasema mashariti ambayo ameyafata ili wimbo wake wa chura kupewa ruksa na Wizara ‘Leo nimewaita hapa kwasababu ya wimbo wangu wa chura kufunguliwa tena baada ya Serikali kuufungia tarehe may 3 2016’>>>Snura
‘Hii ni baada ya kukukata rufaa na kukubaliana na Wizara kutengeneza Video nyingine ya wimbo wa Chura, baada ya kutengeneza video mpya ndio wimbo wangu wa Chura umefunguliwa na ni ruksa kupigwa kwenye TV na Radio nchini, pia namshukuru sana Waziri Nape’>>>Snura.
If you have any Opinion Leave your Comments down....
Welcome.................!
0 comments :
Post a Comment