Kilichoamuliwa kuhusu refa aliyechezesha mechi ya Yanga na Simba

Katika soka la bongo kwa sasa habari inayosambaa kwa kiasi kikubwa mtandaoni ni kuhusiana na muamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya Yanga na Simba October 1 2016 na line one Samwel Mpenzu kufungiwa miaka miwili, bado TFF hajatangaza rasmi adhabu hiyo lakini taarifa zilizoenea mitandaoni ni hizo na TFF hawajakanusha.
Kuna habari kuwa muamzi Martin Saanya na msaidizi wake Samuel Mpenzu wamefungiwa miaka miwili kuchezesha soka, lakini pia inaripotiwa kuwa kadi nyekundu aliooneshwa nahodha wa Simba Jonas Mkude imefutwa, hata hivyo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya goli ya 1-1.
Maamuzi hayo yanatajwa kufikiwa baada ya kamati ya saa 72 kukaa na kupitia malalamiko kuhusu refa kulikubali goli la mkono la Amissi Tambwe na line one Samwel Mpenzu kulikataa goli la Ibrahim Ajib kwa kusema kuwa aliotea.

This is Soka in Bongo bwanaaaa, Leave your Comments down.........!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment