Watu 17 kati ya 600 waliochukuliwa vipimo vya magonjwa yasiyopewa kipaumbele wilayani Chunya mkoani Mbeya wameonekana kuwa na ugonjwa wa Viko
pe.Leo ni siku ya uzinduzi wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele duniani ambapo Mganga mkuu wa wilaya ya Chunya Dkt.Stanford Mwakatage anasema takwimu ya tangu mwaka 2013 imeonyesha wananchi wa eneo lake takribani asilimia 3 wameonekana nuwa na ugonjwa huo na ndipo akahizia watu wajitokeae kwa wingi kupima.
Lakini mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias Tarimo anasema kuwa ni vizuri kujikinga kwa kuumia dawa ili kutokomeza magonjwa haya kwani hakuna mtu ambaye anayapenda.
0 comments :
Post a Comment