Habari iliyotrend sana April 22 ni ya Umoja wa vyama vya upinzani bungeni kutangaza kuwa havitashiriki kuchangia hoja mikutano yote inayoendelea hadi baadhi ya vipengele kama urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja
kutofanyika.Baada ya hayo yote, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauyeanasema ‘Tunachotegemea wangewasilisha mpango mbadala kwa mwaka 2017/2017, badala yake mchana wakasema hawapo tayari, jioni wamekuja wanasema hatua zinazochukuliwa na Serikalini ni hatua zinzokiuka utaratibu‘ ;-Nape Nnauye
‘Tunachokiona hawa wenzetu pengine kasi ya hawamu ya tano inawashinda, sasa wanaamua kuweka vihoja n akushindwa kuweka mpango mbadala. Na kama hawana huo mpango mbadala basi si’mbaya waache mpango ulioletwa na Serikali upitishwe na utekelezwe‘ ;-Nape Nnauye.
0 comments :
Post a Comment