Klabu ya Manchester city ilisafiri kuelekea Stamford bridge kukutana na Chelsea kwaajili ya mchezo wa ligi kuu ya Uingereza.
Goli la kwanza lilifungwa
na Sergio Aguero katika kipindi cha kwanza akishirikiana na Kevin De BruyneAguero akaongeza bao jingine la pili katika kipindi cha pili dakika ya 53 baada ya kupokea pasi mtelezo iliyotolewa na Nasri baada ya kuizuia kutoka kwa mchezaji wa Chelsea aitwaye Kevin De Bruyne.
Mnamo dakika ya 80 mchezaji wa Chelsea, Thibaut Courtois alimchezea faulo mchezaji wa Manchester city Fernandinho na goli likaongezwa kwa njia ya penalty na huyuhuyu mjanja wa Manchester Sergio Aguero na kumnyong'onyeza kipa wa Chelsea Asmir Begovic.
Kwa maana hiyo basi, Sergio Aguero anakua amefunga mabao 13 kwa mwaka huu ligi kuu uingereza kuliko mchezaji yeyote.
Man city katika hatua ya tatu wanakwenda kukutana na Arsenal siku ya jumapili wakati Chelsea wakibaki nafasi ya 10.
Man city katika hatua ya tatu wanakwenda kukutana na Arsenal siku ya jumapili wakati Chelsea wakibaki nafasi ya 10.
0 comments :
Post a Comment