Alichokizungumza katibu mkuu wa Basata kuhusu wimbo wa Nay wa mitego "Pale kati patamu" kufungiwa...


Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao Pale kati patamu.
Basata imesema kuwa maadili ya wimbo hususan maneno yaliyotumika ndani ya wimbo hayaendani na sheria na taratibu zilizowekwa.
Katibu mkuu wa Basata anasema kuwa wimbo wenyewe jinsi ulivyo haufai hata kubadilishwa hivyo wimbo umefungiwa kuanzia mashairi mpaka jina la wimbo na Naya wa mitego hawezi kubadilisha kitu na kuomba wimbo uruhusiwe tena.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment