Baada ya kufungiwa mwaka mmoja kwenye soka leo Jerry Muro ana Haya......


shirikisho la soka Tanzania TFFkupitia kamati ya maadili lilitangaza kumfungia mwaka mmoja Jerry Muro jioni ya July 7 2016  kujihusisha na soka na faini ya Tsh milioni 3.
Muro amefungiwa na kamati ya maadili kwa makosa mawili, moja alilifanya mwaka 2015 la kukaidi kulipa faini ya Tsh. milioni 5 iliyoamuliwa kulipa na kamati ya nidhamu baada ya kufanya makosa likiwa ni kosa ambalo limemfanya afungiwe mwaka mmoja kujihusisha na soka.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Muro ameandika yafuatayo:-
Actor Usher Raymond IV poses for photographers upon arrival at the screening of the film Hands of Stone at the 69th international film festival, Cannes, southern France, Monday, May 16, 2016. (AP Photo/Joel Ryan)
Jerry Muro ni mkuu wa idara ya habari ya club ya soka ya Yanga ambaye amesimamishwa kwa mwaka mmoja kujihusisha  na soka.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment